Theluji iliyoanguka siku ya Jumanne kuamkia Jumatano mji wa Buffalo jimbo la New York theluji iliyokanguka ilifikia futi 5 imesababisha vifo vya watu watano, wawili kati yao wamepoteza maisha kutokana na ajali za magari yao kuseleleka na wengine watatu wamekufa kutokana heart Attack. Pichani ni mkaazi wa Baffalo akijaribu kuparua theluji hiyo kabla haijaganda na kuwa barafu.
Theluji ilivyotanda kwenye barabara mitaa ya Buffalo, jimbo la New York.
Magari ya kukwangua theluji yakiwa kazini mji wa Lancaster, New York
Mji wa Grand Rapids, Michigan, ukiwa umemezwa na theluji.
2 comments:
Kaka buffalo siyo jimbo(state) bali Ni mji*city* iliyopo katika jimbo (state) ya new york
Kwa iyo
Post a Comment