ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 29, 2014

Tangazo la Misa - Shukurani (Thanksgiving), Marehamu Wote na Uhuru wa Tanzania, Novemba 30 2014, 2:00 PM

Karibuni Sana Wapendwa Wote
Img3.jpg


Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya
misa takatifu kwa lugha ya kiswahili
kwa nia ya Kutoa Shukurani (Thanksgiving),
Kuwaombea Marehemu Wote na
Kusheherekea Uhuru wa Tanzania na Kenya

Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la

Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St,
Baltimore, MD 21216,

Tarehe 30 Novemba 2014. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibu sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.

Unakaribishwa kujiunga kwa mawasiliano ya
barua pepe na Wakatoliki DMV anwani WauminiWakatoliki@gmail.com

Kwa niaba ya Baba Paroko, Padri Honest Munishi,
ni katibu wa Wakatoliki DMV Dani Steven

No comments: