Unaambiwa Ndugu Ama wapenzi wawili wagombanapo Shika Jembe Ukalime...Usiingilie na kujifanya wajua sana itakutokea puani na kuonekana mchonganishi.
Hahaha Wambea Sisi tulivyoshupalia ugomvi wa Wapenzi wawili Dida na Edzen Mpaka wakaachana Utafikiri tunahusika kwa Vijembe na Meneno mengi mtandaoni..Unaambiwa Kwa sasa wawili Hao Mambo safi wameshapata ugomvi umeisha na mamba ni kama dhamani ng'are ng'are , Wenyewe wanawasiliana kama kawa na kusaidiana katika vitu vidogo vidogo japo kila mmoja alichukua hamsini zake..Tujifunze kwa hawa watu si lazima mnuniane na kuchuniana mkiachana kimapenzi , mnaweza kuwa marafiki kama kawaida..
1 comment:
tusubiri wachana sasa sijui ataandika nini tena bibiye katika blog yake,wabongo kwani wanakawiyaaa na vichupi vyao mkononi
Post a Comment