Thursday, January 1, 2015

Lemutuz Afunguka 'Najua Kwamba Mabebez Wengi Mnapigwa na Mamen Wenu Kwasababu Yangu...Msikate Tamaa The Day is Coming'

Good Morning Instagram Nation happy new year my people at Office Kikazi zaidi live at the Farm "Camp Davis" le Arusha Moja.....Ok najua sana kwamba I am hated na Mamen wengi sana na.ninajua sana kwamba kuna wanaojaribu kila wakati kunitegeshea na mitego mingi ya kitoto kusudi waje waseme nilikuwa na mke wa mtu I know that I was not born jana U know......najua kwamba mabebezz wengi hapa mnapigwa na.Mamen wenu kwa sababu yangu najua kwamba Mabebez wengi hapa mnazuiwa kuwasiliana na mimi na Mamen wenu wasiojiamini.....well.na wale Mabebezz wote mnaoishi au kuwa kwenye Mapenzi kwa kujilazimisha kwa sababu mbalibali za.kimaisha.... najua I offer some relief hapa na my comments na zinawaudhi sana Mamen malimbukeni wa Mabebezz....
I pray that Mwaka huu mtajitahidi kuwachana na the gademu mburulazzz wanaowageuza watumwa badala ya mapenzi U know.....msikate tamaa the day is coming kila mbwa ana siku yake U know every dog has his day mtakuwa huru tu and for sure I love U all mabebezz na my Super Friends mapenzi hayatakiwi kuwa Vita kama vipi liwache mazafantazzz 
.......na kama Mamen wako lime cheat kumbuka my gademu deal na wewe Cheat back and then hakikisha limejua itakuwa balance ndio ulisamehe kama hataki liwachilie mbali mazafantazzz!! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA U KNOW!! - le Mutuz

10 comments:

Anonymous said...

VIJIMAMBO KUTUWEKEA MTU KAMA HUYU NDANI YA BLOG NA HASA SIKU YA KWANZA YA MWAKA NI MKOSI MKUBWA SANA. VIJIMAMBO UNELIJUA KWAMBA UMETUHARIBIYA MWANZO WA MWAKA USINGEMUWEKA HUYU PUNGUANI. PLEASE GET HIM OUT OF THIS BLOG. VIJIMAMBO HOW CAN YOU DEAL WITH VAGRANT PERSON LIKE MALECELA? USITUFANYE TUCHEUWE TAFADHALI.

Anonymous said...

Hivi jamaa huwa ana umri gani?

Anonymous said...

Hivi lakini kwa nini umeweka hii post ya punguwani huyu!!! Huyu jamaa inadhihirisha kuwa ni punguwani na anautindio wa ubongo uliokithiri!!Mtu mwenye akili timamu hawezi kuweka ushauri wa kijinga namna hii. Hizo lugha za 'u know' na ujinga mwingine aliouweka kwenye blog yako ni aibu kwa mtu anayedai kuwa na akili timamu. Huyu ni mshamba tu na hastaili kuwa anapost ujinga kawa huu hapa.

Unknown said...

Naipenda na kuiheshimu sana hii blog ila kwa hili naomba niwaambie habari kama hii inaweza kuwashushia heshima yenu mliyodumu kwa muda mrefu

Anonymous said...

This guy is nuts. Kwanza he has no language he can either write or speak fluently. Pili, he is so vulgar and indecent a ploy he employs to mask his intelectual bankruptcy, if ever u can use the word intelligence in the same sentence in reference to the buffoon!

The tragedy about the bozo is that he is beyond redemption. He is beyond being a clown! He is a psychiatric case. I agree. Spare us this madness not only on a New Year's Day but any day for that matter.

Unknown said...

Duuh huyu mjinga umemtolea wapi chief???tuombe radhi waungwana umetuchafulia hali ya hewa.. Huyu mtu hafai hata kua shamba boy.

Anonymous said...

Naulumia watoto tu, Lingekua Baba langu ningempiga Risasi na believe me hunashinda kesi

Anonymous said...

TWO THUMBS UP MY BRO LE MUTUZ!!!HUO NDO UKWELI WENYEWE!!!!

Anonymous said...

luka na wewe umeishiwa news, sasa ndio ujinga gani huo utatuwekea

Anonymous said...

jamaa kishafika mika 50 na ushehe hivi but kasema kweli kuna wanaume wenginew hawajiamini jamani wanawatesa tu wake zao na wake wako kwao kwa ajili ya maisha tu not mapenzi.

simtetei le mutuz na simjui ila kasema ukweli kabisa sema alivyoandika ni lugha ya kitaa sana kwa hadhi yake.

jamani tuwaone huruma wake na ma girlfriend zetu na ma baby mama kwa kweli wako wengi sana wanateseka si siri....wanatakiwa kuwa na relief kidogo jamani. maisha magumu sana kwa wanawake jamani tusimtukane bure le mutuz.

big up le mutuz,big up the big show haaaaaaaaaaaaaaaaa.