Thursday, January 1, 2015

NEW YEAR EVE NA DJ SEIF NDANI YA SAFARI CLUB ILIVYO LINDIMA

Dj Seif akiwa na poromota DMK katika kuhamasisha wadau waliofika Sfari Club kuaga mwaka 2014 siku ya Jumatano Desemba 31, 2014.
Club Safari ikiwa imepambwa kwa ajili ya kuukaribisha mwaka 2015.
Walimbwende wakipata picha ya pamoja huku wakisubili kuukaribisha mwaka mpya.
Wadau wakiruka rumba ndani ya Safari club
Wadau wakijinafasi na mkesha wa mwaka mpya
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: