ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 14, 2015

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi waAlgeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, Ikulu jijini Dar es
Salaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada ya
kumaliza muda wake wa kazi nchini.
PICHA NA IKULU

No comments: