ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 14, 2015

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali
Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali
ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao
ni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari
katika wodi hiyo.

PICHA NA IKULU

No comments: