ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 25, 2015

DUE TO PUBLIC DEMAND: YAMOTO BAND WATAFANYA SHOW MOJA YA MWISHO KWENYE JIJI LA NORTHAMPTON ENGLAND

kutokana na Maombi ya mashabiki wengi vijana wa Yamoto Band wameamua kufanya show moja na ya mwisho nchini Uingereza basi kama ulikosa ile ya London hii itakuwa si ya kukosa vijana kama kawaida yao wameahidi kufanya vitu fulani amazingg siku hiyo


DATE: 
Saturday 28th February 2015

VENUE:
Kitty Oshea's (Nest to pure gym)
St. peter's Way
Northampton NN1 !PS

YAMOTO CLASSICS

Nitakupwelepweta

No comments: