Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali. akiwa na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika pamoja na Shamis Alkhatry baada ya mapokezi kwa ziara yake maalum, siku ya Jumatano Feb 25, 2015 ndani ya Washington Dulles International Airport.
Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali, Balozi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali. akuwa na Bw. Erastus Mwencha, pamoja na Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry, siku ya Jumatano Feb 25, 2015 ndani ya Washington Dulles International Airport .( Picha na swahilivilla.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment