Yanga wakipasha ya mwisho mwisho leo hii kabla ya kipute cha hiyo kesho Yanga wanaitaji draw tu kusonga mbele kwenye mchezo huo wa kesho baada ya mchezo wao wa kwanza uliofanyika Tanzania kushinda bao 2-0. Na hata wakifungwa goli moja watakuwa wamepeta tu kiroho safi.
Kocha wa Yanga akiteta na Nadir nahodha wa timu wakiwa njiani kuelekea mazoezini kujiwenda na mshike mshike huo wa kesho.
Msemaji wa club Jerry Muro akipata ukodak wakati timu ikipiga jalamba.
Hiki ni kiota walichofikia Yanga huko Botswana.
No comments:
Post a Comment