Balozi Liberata Mulamula ashiriki harambee huko Houston iliyoandaliwa kwa madhumuni ya ufanisi wa ujenzi wa shule ya msingi Kipawa iliyopo jijini Dar es salaam, Tanzania.
Wadhamini na wafadhili wakuu wa shule hiyo iitwayo Kipawa Libermann wakiwa pamoja na Mhe, Balozi ,( pichani kutoka kushoto ni Dr Lennard Tenende,Odis Peavy, Bi Suzanne Wilkinson, Mhe, Balozi Liberata Mulamula, Bruce Wilkinson,Fr Joseph Triphon,Fr Michael Begley)
Bruce Wilkinson mwanzilishi na mfadhili mkuu wa shule ya msingi Kipawa akielezea mipango waliyonayo kwa ajili ya kuinua elimu nchini Tanzania.
1 comment:
Big up, I love my Balozi..
Post a Comment