ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 30, 2015

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI.



 Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti Mwinyi mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Bethesda, Maryland.
  Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akisaini kitabu cha wageni
 Mama Sitti Mwinyi akisaini kitabu cha wageni mara walipowasili nyumbani kwa balozi
  Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti Mwinyi wenye nyuso za furaha baada ya kukaribishwa nyumbani.
  Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti Mwinyi wakitambua familia ya balozi kwenye picha .

 Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa mezani tayari kwa chakula maalum kilichoandaliwa kwa ajili yake .

Baadhi ya ujumbe ulioambata na  Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na Afisa wa ubalozi wa Tanzania Washington DC, Swahiba Mndeme

No comments: