Lawyer wa Suge Knight Matthew Fletcher alimchekesha Suge Mahakamani baada ya kumwambia kuwa kutokana na masharti ya dhamana kuwa kubwa kuanzaia Dollar Mill 10 hadi Mill 5 itabidi asubiri tu hadi Mayweather akishinda pambano lake na Manny Pacquiao jumamosi atakuja kumdhamini. Mayweather atavuna Dollar Mill 420 kwenye mtifuano huo unaosubiriwa na wapenzi wa ngumi duniani kote hiyo siku ya jumamos tarehe 2 ndani ya jiji la Las Vegas. Suge Knight anakabiriwa na kesi ya kuua toka mwezi wa kwanza hadi sasa yupo jail baada ya kukosa pesa ya dhamana.
No comments:
Post a Comment