ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 7, 2015

MASJID KUBAH NA MADRASAT RAHMAN SEGEREA INAWAKARIBISHA KATIKA MAULID SIKU 9 HADI 10 MAI 2015



Tunawataarifu waislamu wote kuwa tutakuwa na shughuli Haulia ya kisomo cha maulid ya kumsalia mtume Muhammad (s.w.a) katika Msikiti wa masjid Kubah na Madrasat Rahman ,Segerea mwisho,Tabata Dar-es-salaam siku ya 9 na 10 Mai 2015,Ratiba ya Kushughuli kuanzia hasubui ya jumamosi 9 Mai 2015 kisomo cha kinamama (wanawake) mchana kutakuwa na madrasa na kisomo cha wanafunzi jioni hadi siku ya 10 Mai 2015 Kisomo cha haulia na Maulidi mnakaribishwa wote na madrsa wanazotaka kushiriki tafadhali pigeni simu na. 0767617961 au 0712840960 pia 0777000036 karibu sana.

No comments: