MHE. JAJI MOHAMED CHANDE OTHMAN AKIWA NA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE. GRACE J. MUJUMA
|
MHE JAJI MKUU AKIONGEA NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA WAKIWEMO MHE BALOZI GRACE J. MUJUMA, KAIMU MKUU WA UTAWALA NA KONSULA RICHARD LUPEMBE (HAYUPO PICHANI) NA MWAMBATA FEDHA HUDDY KIANGI WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI JAJI MKUU AKIELEZA JAMBO
JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. MOHAMED CHANDE OTHMAN ALIKUWA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI ZAMBIA KUANZIA TAREHE 2 HADI 6 MEI 2015 KWA KWA AJILI YA SHUGHULI ALOZOPEWA NA UMOJA WA MATAIFA. BAADA YA KUMALIZA ZIARA HIYO ALIPATA FURSA YA KUUTEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ULIOPO NCHINI ZAMBIA.
No comments:
Post a Comment