Dr Temba kutoka New York akiwa ndani ya studio za Vijimambo Radio na timu mzima Dj Luke na Bandio. Studio ya Vijimambo Radio hipo maeneo ya Beltsville. MD, ukiacha Dr Temba kulikuwa na mgeni mwingine afisa wa ubalozi Washington bwana Taji mwenye tshirt nyeupe katikati wakipata ukodak.
Vijimambo radio inapatika online na pia unaweza kusikiliza kwa kuingia Vijimambo blog live kila siku.
3 comments:
Salute captain Luka
Poa sana lakini siyo mnapiga mafleva tu na kudanganya watu kuwa ni muziki wa TZ wakati si kweli. Kuweni tofauti mtuwekee muziki wetu wa asili wa Tanzania taarab, dansi, mchiriku, hata na mnanda ila si fleva kwani inakuwa too much na inaboa kinoma.
TAJI SIO AFISA NI LOCAL STUFF KM KINA ELIUDI.ACHA KUWAPA WATU VYEO SIO VYAO
Post a Comment