ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 16, 2015

Rais Kikwete akagua ujenzi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM kulia ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM 
Jengo la Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM linavyoonekana kwa nje.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma leo. 3.Muonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma(picha na Freddy Maro

2 comments:

Anonymous said...

Du,hawa ma architectures wetu,.what a design?

Anonymous said...

kila kitu kinafanywa na wachina..maskini Tanzania..nakulilia Tanzania.