Viongozi wa New York Tanzania Community wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mh. Balozi Mwinyi baada ya kikao cha kupanga tarehe ya uchaguzi kutokana na viongozi walio madarakani kumaliza muda wakuiongoza community. Baada ya kikao hiki Watanzania waishio New York na vitongoji vyake watatangaziwa siku ya kuchukua form na sifa za wagombea wanaofaa tayari kwa uchaguzi wa nyazifa mbalimbali ndani ya New York Tanzania Community. Uchaguzi huo utafanyika siku ya jumamosi tarehe 12 mwezi wa 9 mwaka huu baada ya taratibu za zakuchukua form kukamilika.
Katibu Dr Miriam Abu anaemaliza muda wake akipata ukodak mbele ya bendera ya Tanzania baada ya mkutano, anajivunia kuwa Mtanzania kwa smile la kiudokta.
2 comments:
mr t naye anataka kugombea uongozi kazi kweli ipo.
hajj hajavaa suti maajabu haya.
Soma katiba ya NYTC kwa makini na vile vile soma hili tangazo.
Post a Comment