- Apewa taarifa ya maendeleo ya kiwanda tangu kilipoanzishwa na Baba wa Taifa mwaka 1982, kilipo binafsishwa mwaka 2011 na mpaka sasa.
- Aambiwa kuporomoka kwa dola ya kimarekani pamoja na kuingizwa sukari nchi bila utaratibu kuna athiri sana ukuaji na uendeshaji wa viwanda vya sukari nchini.
Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Sukari Kagera Bw. Arshwin Rana akitoa taarifa ya maendeleo ya kiwanda na changamoto zake kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake walipotembelea kiwanda hicho Juni 11,2015.
Picha inayoonyesha ujenzi wa mifumo ya maji katika shamaba la miwa .
Meneja wa Kiwanda Hamad Yahya akizungumzia changamoto wanazozipata na zinavyoathiti utendaji na ukuaji wa uzalishaji wa sukari nchi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha Sukari Kagera.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment