ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 11, 2015

LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...


LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE...
Linah amesema anatarajia kumtangaza rasmi
mpenzi wake mpya ambaye amedai ni msanii
mkubwa wa nchini Nigeria.
Linah
Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha
East Africa Radio, Linah alisema anampenda
mpenzi wake huyo mpya na kwamba siku ikifika,
ataamua kumweka wazi ili mashabiki
wamtambue.
“Uhusiano wangu mpya ni wa msanii mkubwa
sana, yaani huyo nampenda na hii sio project ipo
real, mtamuona tu bado wakati,a hizi ni dondoo,
wa Nigeria,” alisema Linah.

5 comments:

Anonymous said...

Wanawake wa kibongo bwana hovyoooo!Ujanja mwingiiii mbele kiza...Hivi 'popo' naye ni mwanaume wa kujisifia kweli? Kwa maana hawaishi kulizwa na mapopo kila kukicha lakini hawana cha kujifunza. Na mapopo washajua udhaifu wa wanawake wa kibongo ni kupenda 'miteremko' ndio maana huwapanga mafungu kama senene.

Anonymous said...

Weh bint umechanganyikiwa hivi mnajeria ndio umeona kuwa mabwana wa maana?
unajua nanyie wazee wa vijimambo mchague story za kutuwekea hapa kuna story zingine zinashusha hadhi ya tuvoti hii

Anonymous said...

Ahaaaa duuu kwa sura yake ilivyokuwa mbaya mwacheni tu achukuliwe na popo

Anonymous said...

mijemba wote hapo juu wa kibongo hii issue ya linah imekubaneni pabaya sana;mnafoka kama mabinti mweeeeeeeeeeeeeefyuuuu!!! msohaya.hivi wapopo unawaona si wamaana yani nyinyi ndo wa maana?na kwa lipi hasa? nendeni zenu huko;mpango mzima sasa wapopo;mabwana wakinigeria mabwana wakibongo mtabwabwaja tu mwisho wa siku hamna soko tena kama wapopo.kalaba baooooooooooooooooooo.tena la kisiginoni.mwakahuu. mbona mmeshikwa pabaya endeleni kufuko fuko kama mabinti wapopo wanachukua ngoma.

Anonymous said...

Weee unaewaponda wanamume wa kibongo hebu jiangalie vizuri kwanza yaonyesha una kasoro kuanzia kunuka mdomo kikwapa na sehemu zako za siri na hicho ndicho kinachokukimbiza kwa wanamume wa kibongo popos au wawest asilimia kubwa ni wachafu na upenda harufu chafu km yako usiejijua weeee loh usiefundwa unashindwa hata kutumia maji kwenye haja ndogo