Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiusalimia umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi, katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. Picha na John Badi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe na mkewe Dorcas wakiupungia umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati alipotanga nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. Picha na John Badi
Mwimbaji nyota wa miondoko ya Taarab, Mzee Yusuf akitumbuiza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa wa Lindi jana, ambapo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (hayupo pichani), alitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. Picha na John Badi
Mashabiki wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa wamejipamba kwa rangi mwilini katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa wa Lindi jana, ambapo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (hayupo pichani), alitangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. Picha na John Badi
2 comments:
pesa za gaddafi zipo wapi?kweli sisiemu majanga ya nchi yetu na ufisadi wao
wonders will never ends.watia nia katika ubora wao.
uraisi umekuwa rahisi sana TZ
Post a Comment