Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuweka tone la chanjo mtoto wa miezi sita wakati wa uzinduzi wa chanjo kwa watoto
2 comments:
Anonymous
said...
kwani huyu ni diktari wa watoto ningekuwa mzazi wa hao watoto nisinge kubali sidhani kama hii ni sahihi yeye kuwapa chanja hao watoto yeye angekuwa mmshuhudiaji wa tukio
2 comments:
kwani huyu ni diktari wa watoto ningekuwa mzazi wa hao watoto nisinge kubali sidhani kama hii ni sahihi yeye kuwapa chanja hao watoto yeye angekuwa mmshuhudiaji wa tukio
ni kweli ilibidi awe mshuhudiaji tu, mwaka huu hata pampasi wawatasaidia kubadili watoto mmhh ccm bwana
Post a Comment