Mtanzania Ndugu Alfred Magege anaumwa sana na amelazwa Calvary Hospital kwa ajili ya 'palliative care'. Mr. Magege has been battling bone cancer for 10 years. Familia inaomba ushirikiano wa hali na mali kutoka kwa Watanzania wengine na marafiki, ndugu na jamaa kutoka nchi zingine.
Unaweza kuwasiliana na familia ya ndugu Magege kama ifutavyo:
Buyamba Magege (son)#646-943-1104.
Mrs. Lois Magege #646-864-9645.
Geoffrey Ngullu# 267-582-6276
Feel free kumtembelea mgonjwa ndugu Alfred Magege at:
CALVARY HOSPITAL, 1740 EASTCHESTER RD, BRONX, NY 10461. ROOM #535.
Jumuiya ya Watanzania NY, NJ, CT & PA
3 comments:
Pole sana mr. Magege. Mr Magege ni mfano wa baadhi ya watanzania wengi wanoishi ugaibuni kuwa hawataki kujiunga the community za watnzania, kuchangia, au kushiriki kwa aina yote. hao ndugu wakisha pata matatizo mwisho wake wanomba Community iwasaidie Wanacommity wengi huwa wanasaidia lakini na wao vilevile wanamahitaji yao. Tumaomaba watu ambao sio wanachama wa chamma chote wajiunge na watoe michango yao au misaada yao. Hayo ni maoini yangu. Comminity nyangu ndio ndugu zangu, rafiki zanagui na mkobozi wangu.
poleni sana familia nzima na ndugu na marafiki.nina imani atapona tu mungu peke ndo mponyaji.poleni sana.my prayers are with him nanitakuja kumuona mzee.ahsante sana dj luke kwakuweka tangazo hili.Tushikamane watanzania popote pale tulipo na tupendane; tuache tabia za kubaguana na kusemana na kuchekana.
mdau mount Vernon new york
Mm nadhani huu wakat haukua mzuri kuongea unayosema,bora kama hukuona haja yakwenda msalimia au kutoa mchango wowote ungenyamaza.Maneno yako hayana logic wala sense
Post a Comment