ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 14, 2015

Upo tayari kwa hii??

Kampuni ya ndege ya Boeing imeonyesha staili mpya ya kuondoka ya ndege yake aina ya Boeing 787-9 Dreamliner ambayo inaondoka katika mwamko wa nyuzi 90.
Swali ni kuwa.....uko tayari kwa hili?
Angalia walivyoonyesha wakati wa maandalizi ya maonyeshi ya ndege huko Paris wiki hii

No comments: