ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 12, 2015

MHE.JOHN MAGUFULI NDIYE MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPITIA CCM 2015

Kura zilizopigwa zilikuwa ni kura 2422, na kura zilizoharibika ni kura 6. Kulingana na kura zilizoharibika basi kura halali ni jumla ya kura 2416. 

Dr. Asha Rose Migiro amepata jumla ya kura 59 sawa na na asilimia 2.4%


Balozi Amina Ali amepata jumla ya kura 253 sawa na asilimia 10.5%


Mhe. John Magufuli amepata jumla ya kura 2104 sawa na asilimia 87.1%


1 comment:

Anicetus said...


Congratulations Dr. Mugufuli: The president of United Republic of Tanzania.