Mmoja wa waomba kugombea urais kwa tiketi ya CCM, waliotinga tatu bora, John Magufuli akingia katika ukumbi wa Kisasa wa mikutano wa CCM, wakati wa mkutano mkuu wa CCM, uliofanya uchaguzi leo usiku wa kupata mgombea mmoja wa urais kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu Picha nyingine zinazofuata ni za matukio mbalimbali ya mkutano huo mkuu maalum wa CCM. Kumradhi hazitakuwa na maelezo kutokana na muda, maelezo. Na kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete matokeo ya uchaguzi huo yatatangazwa Saa nne asubuhi ya Julai 12, 2015. Picha zote na Bashir Nkoromo na Adam Mzee wote wa CCM Blog
No comments:
Post a Comment