Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF,
William Erio akimuongoza Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum na
wadau wa mfuko huo kupakua futari iliyoandaliwa na PPF Kanda ya Temeke kwa
wadau wake, Dar es Salaam
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akizungumza na wadau wa mfuko
huo baada ya kupata futari iliyoandaliwa na PPF Kanda ya Temeke, Dar es Salaam
juzi. Wengine kutoka kulia kwake) ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad
Mussa Salum, Mwakilishi wa Sheikh wa Wilaya ya Temeke, Sadi Msati na Msaidizi
wa Sheikh Ahad Musa, Athumani Mkambaku.
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akitoa shukrani zake baada ya futari hiyo
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,
William Erio akimkabidhi Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, alhad Mussa Salum
zawadi iliyotolewa na mfuko huo Kanda ya Temeke kwake baada ya kupata futari
iliyoandaliwa na PPF Kanda ya Temeke, Dar es Salaam
Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF na wafanyakazi
wa Mfuko huo, wakipakua futari iliyoandaliwa na PPF Kanda ya Temeke kwao, Dar
es Salaam
No comments:
Post a Comment