ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 11, 2015

THE TANZANITE YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 4-0 KUTOKA KWA CHIPOLOPOLO

Waamuzi wa mchezo kati ya timu ya taifa ya ska ya Tanzania chini ya mkiaka 20 ya The Tanzanite wakiingia uwanjani wakati timu hiyo ilipopambana na Zambia katika mchezo wa kufuvu kucheza fainali ya Kombe la Dunia kwa Wanawake.
 Janeth Christopher wa The Tanzanite akimiliki mpira Mary Wilombe.
 Beki wa The Tanzanite, Zuwena Aziz akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Zambia.
 Kikundi cha ushangiliaji kikishangilia timu ya The Tanzaniate.
Mshambuliaji wa The Tanzanite, Stumai Abdallah akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Zambia, Lwendo Chisamu.


Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania, ‘The Tanzanite’  Shelder Boniface akichuana na mchezaji wa timu ya Zambia, Esther Mukwasa katika mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake chini ya miaka 20, uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini la Dar es Salaam jana. Zambia ilkishindi 4-0.
Ireen Lungu akimiliki mpira.
 Golikipa wa timu ya Zambia, Hazel Natasha akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania, ‘The Tanzanite’  chini ya kocha wake, Rogasian Kaijage (kushoto) akifuatilia mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake chini ya miaka 20 dhidi ya Zambia uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi Dar es Salaam. Zambia ilkishindi 4-0. 
Baadhi ya wachezaji wa The Tanzanite wakilia baada ya kupoteza mchezo kwa kipigo cha 4-0.


Wachezaji wa timu ya Tanzania 'The Tanzanite' mara baada ya mchezo kumalizika.
 Waamuzi wakitoka baada ya mchezo kumalizika.

No comments: