Nawashukuru wote mliotuunga mkono. Mlitupa nguvu. Nawashukuru pia mliotupinga na kutukosoa. Mlitusaidia kujitazama na kujirekebisha.
Hatujapoteza uchaguzi kwasababu mimi na vijana niliokuwa tumejifunza mengi na tumejenga undugu. Tumepambana na matakwa ya Mungu yametimia.
4 comments:
Hongera kwa ujasiri. Kama pro Lowasa wangemlegezea na kulea unafiki kwa mwenyekiti ungeweza kupenya..
huu ndo ukomavu wa democrasia na uvumilivu wa kisiasa, hongera January i hope next time you will be there at the top.
You are young with full of energy: learn from others and one day you will achieve your goal. Practice the 10 principals of leadership. Yes you can.
Hamna kitu hata hiyo hatua uliyofika ni wapuuzi walikupendelea tu kwa sababu ya Baba yako. Ningeliulizwa nani wa kwanza kukata ningesema wewe. Hufai kabisa kuongoza nchi yetu hata miaka 50 ijayo.
Post a Comment