Magufuli aliweza ku tweet picha hiyo (iliyopo juu) na Kuandika haya hapa:
Dr John Magufuli @MagufuliJP Sep 13
Mwaka 1978 - nikiwa na umri wa miaka 19, Kidato cha Nne katika shule ya Sekondari ya Lake, Mwanza.
Kupitia akaunti yake ya Twitter Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli ameweza kushare nasi baadhi ya Memory kubwa aliyonayo katika maisha yake, nayo ni picha yake ya Ujana aliyoipiga akiwa na umri wa miaka 19 akiwa katika shule ya Sekondari ya Lake iliyopo jijini mwanza akiwa ni mwanafunzi wa kidato cha nne!.
1 comment:
Tunataka kuona ya familia yake pia. Behind a successful man.....
Post a Comment