Joyce Marandu enzi ya uhai wake
Dada yetu Alice J Marandu amefiwa na mdogo wake (pichani) ghafla kuko Tanzania tarehe.4/12/2016.
Kama ilivyo ada mwenzetu anapofiwa, kupena pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu.
Msiba upo.
4627 13th st NW.
washintong DC.20011.
Kwa mawasiliano zaidi.wasiliana na :
240 481 7009. Alice Marandu.
301 237 3399.Britta Mawwala.
202 413 5933. Ernest Kessy.
BWANA AMETOWA NA BWANA AME TWAA. JINA LAKE LIHIMILIWE.
No comments:
Post a Comment