Ndugu wana DMV . Tunapenda kuwajulisha kuwa uchaguzi wa VIONGOZI wa Jumuiya ya DMV unategemewa kufanyika kati ya June na July mwaka huu.
Ni wanachama hai tu ndio watakao ruhusiwa kuchagua au kuchaguliwa kuwa viongozi.
Mnaombwa muipitie katiba na kulipia uanachama kupitia www.watanzaniadmv.org.
Wenu.
Uongozi.
No comments:
Post a Comment