Mkuu wa Idara ya Mazingira Pemba, Mwalimu Khamis Mwalim, akipanda mti katika uzinduzi wa Klabu ya mazingira (Eco School) katika Skuli ya Wete Pemba, ambayo ni miongoni mwa skuli zilizoingia katika mradi huo unadhaminiwa na ZAYEDESA.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Makaazi, Maji, Nishati na Mazingira Pemba, Hemed Salum, akipanda mti katika sherehe hizo, huko katika Skuli ya Pandani Wete.
Skuli ya Connecting ya Mgogoni Wawi Pemba, ikishiriki katika hafla ya uzinduzi wa Klabu hiyo ya ( ECO School) ya Wete-Pemba.
Picha na Zuhura Msabah--Pemba.
No comments:
Post a Comment