ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 27, 2016

AMKA NA BBC Julai 27 2016......Hillary Clinton Aweka Historia Nchini Marekani

Bi Hillary Clinton mkewe Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton, amekuwa mwanamke wa kwanza kupeperusha bendera ya chama kikubwa nchini Marekani baada ya kuidhinishwa na chama cha Democratic kuwania nafasi ya urais.
Wajumbe katika mkutano wa kitaifa wa Chama uliofanyika katika mji wa Philadelphia, wamemteua rasmi mwanamke huyo aliyekuwa Seneta na waziri wa mambo ya nje kama mgombea wao wa urais

No comments: