Kipindi cha ONGEA NA SHANGAZI Aug 26 2016.....Mavazi
Katika kipindi hiki cha Ongea na Shangazi ambacho hukujia kila Ijumaa kuanzia saa kumi na moja jioni kwa saa za Marekani Mashariki (5:00pm), Shangazi Asha Akida-Abdul amezungumzia suala la MAVAZI Karibu
No comments:
Post a Comment