Mwanza tukutane #VillaParkResort Siku ya Alhamis tar 27/10 kwenye #USIKUWAMSHIKEMSHIKE unaletwa kwako na @lakefmmwanza Burudani itashushwa na @officialkhadijakopa na @ogopakopa_classic_band kuanzia saa moja hadi matokeo.
Kwa mkwanja wa shilingi elfu 7,000 kabla ya saa 5 usiku, na elfu 10000 baada ya saa 10.
#USIKUWAMSHIKEMSHIKE unapewa nguvu na @tigo_tanzania @barmedas.tv @startimestz pamoja na #Iroggabarbershop
Bila kusahau mziki mzuri kutoka kwa #LakefmDjz @djdhifa_untouchable @deejaykflip @hcuedj
#USIKUWAMSHIKEMSHIKE pale #VillaParkResort ndo #RahaYaRockCity inapopatikana.
Soma HAPA Kujua Zaidi
No comments:
Post a Comment