TANGAZO LA MKUTANO TAMCO DMV
Salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuhu
Tunakaribishwa kwenye Mkutano wa Pamoja wa TAMCO, kwa
madhumuni ya Kukaribisha Mahujjaji Wetu waliojaaliwa kwenda Kuhiji Makkah mwaka
huu.
Pamoja na Kujadili Masuala Yetu mengineyo.
Siku ya Jumamosi November 12, 2016
Kuanzia Saa Kumi na Mbili hadi Saa Nne
usiku (6:00PM – 10PM)
Anuani:
Indian Spring Terrace Local Park
9717 Lawndale Dr.
Silver Spring, MD 20901
Ukipata
Taarifa hii Mjulishe Mwenzio.
Kwa Taarifa Zaidi Wasiliana na
Ali Mohammed 301-500-9762
Shamis Abdullah 202-509-1355
Asha Hariz 703-624-2409
Karibuni Wote na Tunatanguliza Shukran za
dhati.
No comments:
Post a Comment