Upigaji kura kwa njia ya mtandao unaanza Jumatatu, Januari 9 katika tovuti ya
www.marylandasa.com/voting
Tafadhali hakikisha unaniunga mkono pamoja na #TeamJumbe
Natumia shindano hili kama jukwaa la kutangaza nchi yangu ya asili Tanzania πΉπΏ na kufundisha watu sehemu ya utamaduni, mila na muziki wetu. Najulikana kama Mr. Tanzania kwa hiyo ni wajibu wangu kuwakilisha, nchi yangu, mizizi yangu. Siwezi kufanikisha hili bila msaada wako. Naweka moyo wangu katika muziki na kila ninachofanya si kwa ajili yangu tu au wazazi wangu, au familia yangu bali ni kwa watu wangu & na nyinyi ndio watu wangu mnaonipa motisha. Bila nyinyi na uungaji mkono wenu siwezi kwenda mbele. Sisi ni wamoja kwa hiyo lazima tuungane mkono na kuwa pamoja katika hali na mali. Shindano hili ni fursa kuonyesha watu kutoka mataifa mbali mbali ya Afrika na kwingineko Tanzania ni nini, tunahitaji kuonyesha uwepo wetu juu ya jukwaa na katika safu za ushangiliaji. Natumaini utaniunga mkono.
Tafadhali kumbuka upigaji kura mtandaoni unaanza Jumatatu, Januari 9 katika www.marylandasa.com/voting
Muunge mkono Mr Tz #TeamJumbe π πΉπΏ....Asili Haipotei
- Mr. Tz aka SanTz
Huyu ni msanii wa kizazi kipya, Mr.Tz aka SanTz, ambaye anaishi Marekani na anashindana katika tamasha la Mr&Mrs ASA wa Maryland litakalofanyika Jumamosi, Januari 28, 2017.
Upigaji kura kwa njia ya mtandao unaanza Jumatatu, Januari 9 katika mtandao wa www.marylandasa.com/voting
Tafadhali niunge mkono & #TeamJumbe π€πΎπΉπΏ
Mr.Tz anatumia shindano hili kama jukwaa la kutangaza nchi yake ya Tanzania na kufundisha watu kuhusu utamaduni, mila na muziki wetu. Kama anavyosena Mr.Tz "ni wajibu wangu kuwakilisha nchi yangu, mizizi yangu. Siwezi kufanikisha hili bila msaada wako. Nafanya bidii katika muziki wangu na kila ninachofanya si kwa ajili yangu au wazazi wangu au familia yangu tu bali ni kwa ajili ya watu wangu na nyinyi ndo watu wangu, motisha wangu. Bila wewe bila uungaji mkono wako siwezi kwenda mbele. Sisi ni watu wamoja na ni budi tuungane mkono & tuwe pamoja kwa hali na mali. Shindano hili ni fursa kuonyesha watu kutoka nchi zote za Afrika na kwingineko Tanzania πΉπΏ ni wapi, tuonyeshe uwepo wetu juu ya jukwaa na watazamaji. Nategemea uungaji mkono wako."
Tafadhali kumbuka upigaji kura katika njia ya mtandao unaanza Jumatatu, Januari 9 katika mtandao wa www.marylandasa.com/voting
Tafadhali niunge mkono &#TeamJumbe π€πΎπ₯
No comments:
Post a Comment