Mwanamitindo nguli mama Asya Idarous Khamsini amepewa tuzo lya lifetime achievement kutoka kwa Tanzania Fashion Designere and Models. Mama mitindo Asya alitoa shukurani za dhati kwa tuzo hiyo.
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe alifika Dukani kwa mama mitindo Asya Idarous Khamsin Mikocheni jijini Dar, Waziri huyo mwenye dhamana ya Habari, Sanaa na Michezo alimshukuru na kumpongeza mama huyo wa mitindo.
No comments:
Post a Comment