Mtoto Daniel Munga (6 yrs) amefariki Tanzania. Baba wa mtoto Ndg. Issac Munga ni mwana DMV mwenzetu. Kama ilivyo ada yetu watu wa DMV kufarijiana kipindi cha matatizo.
Msiba upo:
6200 Ager Road
Hyattsville, MD 20782
Mawasiliano kuhusu taratibu za msiba: Munga Issac Munga 2404704048
Joseph K. Nyambwe 2407043646
Yesin Matola 2024318262
Rambirambi, CashApp:
Lissa Bantu +1 (919) 452-2746
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA; JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment