ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 5, 2018

SIKU YA MWANAMKE DUNIANI

KATIKA KUELEKEA KWENYE KILELE CHA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI ,JUMUHIYA YA WAKINA MAMA KUTOKA KATIKA TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MKOANI DODOMA LEO WATEMBELEA KIJIJI CHA MATUMAINI KILICHOPO ENEO LA KISASA WILAYA YA DODOMA MJINI.
PICHANI WAKINA MAMA HAO WAKIPATA HISTORIA FUPI YA KITUO HICHO KUTOKA KWA FATHER VINCENT BASILI AMBAYE NDIYE MUANZILISHI WA KITUO PAMOJA NA KUWAGAWIA WATOTO YATIMA VITU MBALIMBALI WA KITUO HICHO.

No comments: