Advertisements

Wednesday, April 25, 2018

MANGE KIMAMBI AONGOZA MAANDAMANO WASHINGTON, DC

Mwanadada anayeishi Marekani Mange Kimambi (watatu toka kushoto) akiwa ameshika bango huku akiongoza maandamano ya kupinga kile wanachokiita ukandamizaji wa demokrasia nchini Tanzania chini ya utawala wa awamu ya tano. Katika maandamano hayo ambayo Mange aliungwa mkono na baadhi ya waTanzania wanaoishi DMV yalifanyika nje ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo barabara ya 22, Washington, DC. siku ya Jumatano April 25, 2018.

Maandamano yakifanyika nje ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC.

Bango likionyeshwa
Mange Kimambi (mwenye jaketi la bluu) akiongoza maandamano ya kupinga kile wanachokiita ukandamizwaji wa demokrasia nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumamtano April 25, 2018.
Mange akiungwa mkono katika maandamano hayo na baadhi ya waTanzania waliojumuika nae nje ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani huku wakiwa wameshikilia mabango yanayopinga ukandamizaji wa demokrasia ya utawala wa awamu ya tano.
Maandamano yakiendelea.
Maandamano yakiendelea
 Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: