Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe
Magufuli akitia saini katika kitabu cha Maombelezo cha Marehemu Meja
Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani
kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa
Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe
Magufuli akiwapa pole familiya ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph
Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa kufiwa na baba yao
aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili
Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe
Magufuli akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa Marehemu Meja Jenerali
Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada Estate Kinondoni nyumbani kwa
marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018 katika hospitali ya Taifa
Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018
Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo akitoa salamu za mwisho kwa
mwili wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Joseph Anael Lesulile, Ada
Estate Kinondoni nyumbani kwa marehemu,aliyefariki dunia agosti 14,2018
katika hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam,Agosti 17,2018
Picha na Ikulu.
Picha na Ikulu.
1 comment:
Aisee ada estate mitaa ya ma sister du na ma brother men miaka ya 90s long time . Poleni sana watu as Ada
Post a Comment