RAIS DKT MAGUFULI AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAWAZIRI, ATEUA VIONGOZI WAPYA KADHAA
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza madadiliko madogo katika baraza la mawaziri pamoja na uteuzi
wa viongozi wapya kadhaa uliofanywa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Januari 8, 2019
No comments:
Post a Comment