RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka Jiwe la Msingi la Jengo jipya ya la Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, na kuzindua Maabara ya Vinasaba (DNA) Maruhubi Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Jengo Jipya la Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, pamoja na Uzinduzi wa Maabara ya Vinasaba.(DNA),hafla hiyo imefanyika maruhubi Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kulifungua Jengo Jipya la Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Maruhubi Zanzibar, kushoto Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Rashid Ali Juma.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Slim Rashid Juma, akitowa maelezo ya picha ya jengo hilo jipya la Mkemia Mkuu baada ya kulifungua leo rasmin, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mchunguzi Maabara ya (DNA ) Vinasaba, (Genetic Analyzer) Bi. Saide Abdalla Mbarak, akitowa maelezo ya moja ya Vifaa vya DNA wakati wa uzinduzi huo wa Maabara ya Vinasaba uliofanyika leo katika jengo jipya la Mkemia Mkuu Maruhubi Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mchunguzi wa Maabara ya Vinasaba (DNA) (Genitic Analyzer) Bi. Saide Abdalla Mbarak,akitowa maelezo ya matumizi ya mashine hiyo wakati wa ufunguzi wa Maabara ya Vinasaba (DNA) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Maruhubi Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Kaimu Waziri wa Afya na Waziri wa Kilimo,Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Rashid Ali Juma,wakiongea wakati wakielekea katika eneo maalum kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi na Wafanyakazi wa Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali baada ya Uzinduzi wa Jengo Jipya na Maabara ya Vinasaba (DNA) ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAFANYAKAZI wa Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakishangilia wakati wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Jengo Jipya la Mkemia Mkuu wa Serikali Maruhubi.(Picha na Ikulu) ,
No comments:
Post a Comment