ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 10, 2019

JPM NA MKW WAMJULIA HALI MAMA MARIA NYERERE

Mapema leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wamemjulia hali mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.

No comments: