ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 10, 2019

PITAPITA YA VIJIMAMBO MNUSO WA KUKAMATA NONDO WA KAY

Wadau wakijinafasi katika kuburudika na muziki uliokua ukiporomoshwa naDj Ben siku ya Graduation ya Kay iliyofanyika siku ya Jumamosi June 8, 2019 Capitol Heights, Maryland.

Makamu wa Rauis Jumuiya ya waTanzania DMV Bi. Joha Nyang'anyi (kulia) akiwa na dada yake Asha Nyang'anyi wakiwa wamoja wa wageni waalikwa kwenye tafrija hiyo.
Three Sisters wakipata ukodak wa upendeleo.
Mtu na binamu wakipata picha ya pamoja.
wageni wakiwa katika picha.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



No comments: