Juu na chini ni Bendera zikitundikwa siku ya mazishi ya Robert Cottrell yaliyofanyika kijeshi siku ya Jumanne Sept 24, 2019 Fort Myer Virginia, marehemu alikua ni mke wa Joyce Rwehumbiza Cotrtell. Picha na Adrew Matema.
Brass Band ya jeshi ikipiga nyimbo za mazishi.
Juu na chini mashada ya maua.
Kibox kicho na majivu ya mwili wa marehemu.
Kulia ni Jiyce Cottrell akiwa na wakwe zake kweny ibada ya misa ya mpendwa wake.
Kwa picha zaidi mwanzo mwisho ya mazishi ya Robert Cottrell bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment