ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 28, 2019

TAARIFA YA MSIBA

James Mensar enzi za uhai wake

Ndugu yetu, Dada yetu,mTanzania mwenzetu Olimpia Kullaya Mensar amasikitika kutangaza msiba wa mpendwa mume wake James Mensar uliotokea ghafla hapo jana, marehemu alipatwa na mstuko wa moyo na ukapelekea kufikwa na mauti.

Kupeana pole ndio mila na desturi yetu kwa sasa msiba upo address ni:
8587 Armory lane,
York PA 17408

Tumshike mkono Olimpia katika msiba huu wa kuondokewa na mpendwa mume wake, unaweza kumshika mkono kupitia cash App jina Asteria Kullaya 347 803 3005 Tunatanguliza shukurani.

Kwa taarifa zaidi na maelekezo wasiliana na
Olympia Mensah
717 819 5018
Asteria kullaya
347 803 3005

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE

No comments: