KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Ndg. Salum Maulid Salum akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya China National Research Institute of Food &Fermentation Industries ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Bw. Dong Jianhui kulia akiwa na ujumbe wake wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Rais leo 7-10-2019.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment